Search

1069 results for Khatimu Naheka :

  1. PRIME Mambo matano yanayomuondoa Benchikha Simba

    Usiku wa leo Simba itakuwa uwanjani mjini Unguja kumalizana na Azam kwenye pambano la fainali ya michuano ya Kombe la Muungano litakalopigwa Uwanja wa New Amaan, huku mabosi wa klabu hiyo...

  2. Rais Samia aionya Simba fainali Muungano

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan ameionya klabu ya Simba wakati ikijiandaa kukutana na Azam kwenye fainali ya Kombe la Muungano. Akizungumza leo kwenye kilele cha...

  3. PRIME Mbadala wa Aucho Yanga huyu hapa

    YANGA wameanza mapema kukifanyia maboresho kikosi chao kuelekea msimu ujao, baada ya kupiga hodi kuulizia huduma ya kiungo mkabaji, Yusuph Kagoma kama mbadala mpya wa staa wao, Khalid Aucho.

  4. CAF yaipa ushindi Berkane, yaitega USM ALGER

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) hatimaye limefanya uamuzi wa kuipa ushindi RS Berkane baada ya kubaini Wamorocco hao walifanyiwa vitendo sio vya kiungwana na wenyeji wao USM Alger ya Algeria.

  5. Gamondi: Kwa Uwanja ule unashindaje?

    BAADA ya kupata sare isiyo na mabao dhidi ya JKT Tanzania, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameshangaa maamuzi ya kulazimisha mchezo huo wa Lifi Kuu ara kuchezwa kwenye Uwanja uliokosa...

  6. Afcon yamponza Rais wa Soka Zambia

    RAIS wa Shirikisho la Soka Zambia (Faz), Andrew Kamanga anashikiliwa na mamlaka za nchini humo kwa tuhuma za utakatishaji fedha. Kamanga (56) anashikiliwa kwa makosa ya matumizi mabaya ya fedha...

  7. Umafia wa Gamondi kwa Simba ni huu

    KAMA kuna kitu kinawaumiza Simba basi ni kitendo cha kikosi chao kupoteza mechi zote mbili za Ligi Kuu Bara ndani ya msimu mmoja tena dhidi ya Yanga, jambo ambalo rekodi zinaonyesha halikutokea...

  8. PRIME Mastaa sita Simba wanavyoibeba Yanga

    WAKATI mashabiki wa Simba wakiendelea kulia na mastaa wa kikosi chao baada ya timu yao kukosa matokeo mazuri lakini upande wa pili umefichua juu ya sajili sita nzito za wekundu hao zinazowabeba...

  9. PRIME Simba hii haijawahi kutokea kabisa

    ACHANA na kipigo ilichopewa na Yanga katika Kariakoo Dabi iliyopigwa juzi Kwa Mkapa, ukweli ni Simba ya sasa inashtua. Kikosi hicho sio kinashtua pengine labda haichezi vizuri, hapana! Simba...

  10. Yanga yaitawala Simba nje ndani

    Ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu unazidi kuikaribia Yanga na sasa inahitajika kupata ushindi katika mechi tano na sare moja kati ya mechi nane ilizobakiza ili ijihakikishie ubingwa kwa mara ya...

Page 1 of 107

Next